Array ( [0] => https://radioandroid.net/i-know-she-knows-lyrics.html [1] => https://radioandroid.net/springtime-carnivore-collectors.html [2] => https://radioandroid.net/overkill-world-of-hurt.html [3] => https://radioandroid.net/unkle-with-you-in-my-head-feat-the-black-angels.html [4] => https://radioandroid.net/song-from-the-wrong-missy.html [5] => https://radioandroid.net/twist-lyrics-korn.html [6] => https://radioandroid.net/tiwa-savage-who-gave-the-order.html [7] => https://radioandroid.net/nadia-mukami-ft-sanaipei-wangu-video-download.html [8] => https://radioandroid.net/purple-rain-prince-mp3-download.html [9] => https://radioandroid.net/rick-ross-album-download-port-of-miami.html )Status:429{"code":"TooManyRequests","message":"We're sorry, but you have sent too many requests to us recently."}
Jux delivers the official audio for Upofu, off his 2019 album titled 'The Love Album"
Available Worldwide:
africori.to/juxthelovealbum.oyd
© 2019 African Boy
Follow Jux
Facebook: facebook.com/Juma-Jux-553
Instagram: instagram.com/juma_jux/
Twitter: twitter.com/africanboyjux
Subscribe here: - smarturl.it/YouTube_Subscribe
Digital distribution: africori.com/
More from Jux:
Sugua ft. Diamond Platinumz: youtu.be/5ZfA8PvELyU
Wambela ft. Ruby: youtu.be/FsTP1qc9VXA
Umenibamba: youtu.be/SSRrnx6ZsH8
Lyrics:
Intro:
Aaaah aauh
Verse:
Unaweza kupenda,
Tena bila sababu.
Ndo maana sijutii, Kukutana na wewe.
Mapenzi ni kitambo,
Toka enzi za mababuuu
Ndio maana sijutii, Kukutana na wewe. Eeeyeeeeeeh
Upofu wako sio tatizo
Uwepo wako kwenye matatizo
Aaah! Tabia zako ooh jinsi ulivo aah ( sio siri x2)
Huruma wako ooh, baby (aah aah)
Pre-Chorus:
Nywele zako, baby, Sura yako
Kucha zako mama, Rangi yako
Mwendo wako, darling, Shepu yako
Zinanibamba weweeee
Pozi zako, Mama, Maringo yako
Unanidatisha michezo yako
Kiuno chako unaweza, Eeeh
Chorus:
Natamani ungejiona eeh
Jinsi ulivyo mrembo X2
Ungeona mamaaa
Jinsi ulivyo mrembo X2
Natamani ungejiona eeh
Jinsi ulivyo mrembo X2
Wewe ni mzuriiii
Jinsi ulivyo mrembo X2
Bridge:
Mmmmmh yeeeeh , Mmmmmh yeeee eeh
Eeeeeeeh
Verse:
Kuna muda unatamani, unipikie chakula,
Kibaya hauwezi
Kuna muda unatamani, unichagulie cha kuvaa, Kibaya hauwezi
Kuna muda unatamani, tutazame muvi wote,
Kibaya hauwezi
Kuna muda unatamani, uione sura yangu, Kibaya hauwezi
Siwezi kukuacha njiani,
We ndio wangu maishani
Na wengine sitamani,
Hata kama hauoni
We ndio wangu daily,
Wengine sitamani
Unanipa raha tele,
Umenikaa moyoni
Ahh! Aaah! Eeeh
Pre-Chorus:
Nywele zako, baby, Sura yako
Kucha zako mama, Rangi yako
Mwendo wako, darling, Shepu yako
Zinanibamba wewe
Pozi zako, Mama, Maringo yako
Unanidatisha michezo yako na na naaana
Kiuno chako unaweza, Eeeh
Chorus:
Natamani ungejiona eeeh
Jinsi ulivyo mrembo X2 no no
Ulivyo mama
Jinsi ulivyo mrembo X2 (Yeeeiyee)
We Mzuriiiiii
Jinsi ulivyo mrembo X2
Aaah ah jinsi ulivyo mama Jinsi ulivyo mrembo X2 mmmmmh
Yeeeeehee
Outro:
Your loving X3
Nafurahia
Your loving X3
We ni mzurii
Your loving X3
Nafurahia
Your loving X3
Nafurahiaaaa