Download MP3 Ufugaji Wa Nguruwe (7.07 MB) - Radio Android

Download MP3 Ufugaji Wa Nguruwe (7.07 MB) - Radio Android

UFUGAJI BORA WA NGURUWE KIBIASHARA-Utunzaji na faida za kufuga nguruwe Part 1 lyrics

UFUGAJI WA NGURUWE NA FAIDA ZAKE.

Utangulizi
Nguruwe ni mnyama amabaye hutumika kama chakula / mbonga na pia ni zao la biashara kwa mfugaji, mjasirimali na mfanyabiashara.

NGURUWE HUTEGEMEA SANA MAMBO YAFATAYO

1 . Bada imara na rafiki kwake
2. Usafi ni muhimu sana katika bada la Nguruwe
3 Mchaganyo bora wa chakula
4. Tiba bora na kinga
5. Maji na Lishe ( access ya vyakula Muhimu kwake )
KATIKA UFUGAJI WA NGURUWE KUNACHAGAMOTO ZAKE LAKINI ZAWEZA KUTATULIWA KWA KUFATA MAMBO KADHAA.
Katika ufugaji wa nguruwe kunachagamoto ya vifo vya nguruwe wachanga ambao hupunguza faida ya biashara ya nguruwe kwa kupunguza idadi ya nguruwe wazima wa kuuzwa lakini utunzaji mzuri wa nguruwe wachanga huepusha vifo vinavyotokana na shida kama:
Matatizo ya kupumua
Ni kifo kinachosababishwa na mama anapomlalia nguruwe mchanga.chagamoto hii inaweza kutatuliwa kwa kuwatega au kuwa na mabanda makubwa ya kulelea watoto.
Baridi
Nguruwe wachanga huathiriwa na baridi haswa katika majuma mawili au matatu ya mwanzo. Hii ni kwa kuwa wana kiwango kidogo cha utando wa mafuta wa kuwakinga.
Unashuriwa kuwaweka katika hali ya joto, wape matandiko na utumie vipasha joto kama vile kuasha globu za joto kama utakuwa umewaweka kwenye mabada ya kuta au nyumba yenye sakafu baridi.
Namna bora utunzaji wa nguruwe wachanga
Nguruwe moja wa kike ana uwezo wa kuzaa watoto 12. Namna ifuatayo itasaidia kupunguza idadi ya vifo vya nguruwe wachanga:
1.Pale nguruwe awapo na kidonda nyunyizia dawa ya ayodini 5% kwenye kovu ili kuzuia kuambukizwa kwa magonjwa.
2.Wawekee matandiko (nyasi kavu au maganda ya miti) mahali pa mapumziko ili wapate joto au utumie globu za joto.
3Wadunge sindano ya madini ya chuma (iron) siku ya tatubaada ya kuzaliwa ili kuzuia upungufu wa damu.
3. Yalainishe meno ya vichaga kabla ya masaa 24 ili kuzuia uharibifu wa matiti wakati wanaponyonya.
4. Watie vibandiko au utoboe masikio ili uwatambue na uhifadhi rekodi zao kama kuna umuhimu kama vile wafanyavyo wafugaji wa ng’ombe.
5. Wapime uzani wanapozaliwa na uhifadhi rekodi hiyo itakusaidia kujua ukuaji wao na maendeleo yao
6. Wahasi wale wa kiume juma la tatu, wale ambao hawafai katika kuendeleza kizazi kwa kutumia mtindo wazi (open method) kama unaona inafaa.
7. Wapatie dawa ya kuzuia minyoo pia zipo dawa za asili kama unga wa mkaa na majivu pia zipo za kitaalamu, wasiliana na wataalamu wa mifugo
8.Waachishe kunyonya katika juma la nane au wafikapo kilo 14 hadi 20 hii itasaidia kujitegemea na kukua kwa haraka.
Nguruwe Walioachishwa Kunyonya
1.Walioachishwa kunyonya wawekwe makundi ya 10 hadi 12 kulingana na uzito au ukubwa wao kwenye eneo ambalo watajitosheleza.
2.Watenganishe wakubwa kwa wadogo ili kuzuia kupigana.
3.Wakati wa kuwaachisha kunyonya mwondoe mama yao kutoka kwa watoto ili kupunguza usumbufu.
4Watoto wa nguruwe wa mama tofauti wasiwekwe pamoja maana hii husababisha mapigano kati yao na
5.Unapowachanganya watoto wa mama tofauti wapake mafuta ya gari yaliyotumika kwenye ngozi yao au mafuta ya kula ili kuiondoa harufu ya kutambulika ili wasipigane
FAIDA YA UFUGAJI WA NGURUWE
Faida kuu ya nguruwe ni zao la chakula lakini pia ni zao la kukuongezea kipato ukiwa kama mjasirimali / mfanyabiashara.
Lengo langu nikueleza namna unavyoweza kufuga na kutupa faida, Steps zifatazo ni muhimu kuzigatia.

 • KILIMO BORA : UFUGAJI WA NGURUWE
  Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa. Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo...
 • UFUGAJI WA NGURUWE KIBIASHARA:fahamu chakula bora/banda bora.
  Haya ni maarifa ya ufugaji nguluwe kwa tija kibiashara,hii video inakuelekeza jinsi ya kufuga nguluwe kibiashara kwa kufahamu vyakula na...
 • VYAKULA 5 VYA KUNENEPESHA NGURUWE
  Nenepesha nguruwe wako kwa kuwapa mchanganyiko wa vyakula hivi #nguruwe 👉Kujifunza jinsi ya kulea vitoto vya nguruwe👇 youtu.be/A0G40kXKRgw
 • Ufugaji Nguruwe Tanzania
  #duroc #largewhite
 • JE WAJUA KUWA KUFUGA NGURUWE KUNALIPA TWENZETU MASHAMBANI.
  Tukiwa mbeya kwa mfugaji mmoja huko Isesya tukitoa elimu juu ya ufugaji wa nguruwe tufatilie ujifunze mengi kuhusu nguruwe na umsikilize mfugaji...
 • Kila miezi 6 ninapata Ksh Milioni Moja katika Ufugaji wa nguruwe Nyeri. Part 1
  facebook.com/LabaanShabaan1/ twitter.com/labaanshabaan/ instagram.com/labaanshabaan/ Young Millionaire Making Money From Pig Farming....
 • UFUGAJI BORA WA NGURUWE KIBIASHARA-Utunzaji na faida za kufuga nguruwe
  UFUGAJI WA NGURUWE NA FAIDA ZAKE. Utangulizi Nguruwe ni mnyama amabaye hutumika kama chakula / mbonga na pia ni zao la biashara kwa mfugaji,...
 • Mkulima: Ufugaji wa nguruwe
  Mkulima: Ufugaji wa nguruwe
 • Pig farming(Ufugaji wa nguruwe)
  Construction of pig pen -ujemgaji wa banda la nguruwe
 • Ufugaji Wa Nguruwe Responds